Monday, July 28, 2008

Siku ya Michezo kwa Tausi wa
Vodacom Miss Tanzania
2008...
Pichani ni Baadhi Vimwana(Tausi) wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2008 wakicheza soka ya ufukweni wa South Beach Hotel,iliyoko Mjimwema Kigamboni Dar es Salaam,katika kuadhimisha siku yao ya michezo.

No comments: