Saturday, July 26, 2008

Mzee Sumaye atembelea
88.4 Clouds FM..
Programu meneja Sebastian Maganga akimfafanulia jambo mh Sumaye ndani ya studio wakati kipindi cha Leo tena kikiruka hewani.
Waziri mkuu mstaafu mh.Fredrik Sumaye jana asubuhi amekitembelea kituo cha redio ya Clouds Fm 88.4,aidha Sumaye alionesha kuvutiwa sana na utendaji kazi wa kituo hicho na pia hakusita kuuliza maswali kadhaa kwa ufahamu zaidi.Pichani shoto ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw.Joseph Kusaga na kulia ni programu meneja wa kituo hicho Sebastian Maganga.Habari na Ahmed Michuzi Clouds FM/Prime Time Promotion.

No comments: