Monday, July 28, 2008

Wabunge waicharaza CRDB
1-O..
Kipa wa Bunge,Iddi Azan na mbunge wa Kinondoni pamoja na mlinzi wa Bunge Mzee Ngwali Zuberi ambaye ni mbunge wa Mkwajuni wakiokoa mpira wa hatari katika mechi kati ya Bunge na CRDB iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma Julai 26,2008.Bunge ilishinda 1-0. Kushoto ni mlinzi wa Bunge na Mbunge wa Sengerema William Ngereja na kulia ni mshambuliaji wa CRDB,Godwin Semunyu.Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: