Monday, July 28, 2008

Mzee Munaka Kuzikwa Makaburi
ya Kinondoni jijini
Dar es Salaam...
Aliyekuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza Mh Bhoke Munanka(pichani)amefariki na anataraji kuzikwa Julai 29 2008 katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemnu Kimara.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi Amen.

No comments: