Thursday, July 24, 2008

break point ya mjini kumekucha
daudi, bosi wa mnyororo wa migahawa ya break point huwa hana noma. weita akichelewa anatia timu mwenyewe. kwa wale ambao hawajapastukia mahali hapa ni ilipokuwa posta club usoni pa sehemu ya kuegesha magari ya billicanas
bosi wa break point akiwapa kampani wadau wa h-taun ambao wako bongo kuhudhuria semina enekezi ya namna ya kurejea homu katika break point ya mjini ambako ukichelewa mchana hupati kiti.
juu ni spesho menyu mpya ya break point ya mjini na chini ni 'makange' orijino

No comments: