Tausi wa Miss Tanzania 2008
ndani ya Bagamoyo..
--------
Picha mwanana za Vimwana(Tausi)wanaoshiriki shindano la kutafuta Miss Tanzania 2008 wakiwa katika pozi mbalimbali kambini kwao jana mjini bagamoyo ndani ya Paradise Beach Resort ambapo kwa leo ilikuwa ni siku malum kwa vyombo mbalimbali vya habari kukutana na vimwana hivyo. kwa picha zaidi za Tausi hawa Bofya na Endelea .>>>>
No comments:
Post a Comment