Thursday, July 24, 2008

dj bonny luv kuaga kwa shoo silver spring
juu dj bonny luv akifanya mavitu yake na chini wadau wa washington dc wakiburudika

Dj Bonny Luv mwenye washabiki wengi ndani na nje ya bongo,atafanya onyesho la mwisho jumamosi hii july 26 kwenye klabu moja maarufu silver spring, Maryland, inayojulikana kama The Gallery.
Akiongea kwa njia ya simu na glob ya jamii,dj Bonny amesema safari yangu ya marekani ilikua nzuri na nimepokewa vizuri na washabiki wangu kwa hiyo si vizuri kuondoka bila kusema asante,najua muda ni mfupi washabiki wangu marekani jitahidi kuja
the Gallery Silver spring,
1115 East West Hwy,
Silver Spring Md 20910
si vizuri kuondoka bila kuwaachia kazawadi,najua nitakua sijamaliza kiu yenu kwa sababu ya mtafaruku uliotokea wa oldskool bash Columbus Ohio,nawaahidi Mungu akipenda tutaonana mwakani.
hii jumamosi nitaiita "A NIGHT TO REMEMBER"fika usuuzike na roho yako.

Visit website at
www.gallerysilverspring.com

2 comments:

Anonymous said...

hee malongo na wewe ulikuwepo! si mchezo nakuona hapo kwa mbali umevaa black and white. yangu macho!

Anonymous said...



Here is my web-site :: lotto