Thursday, June 26, 2008

Zitto,Said na Spika Sitta

Spika wa Bunge na mbunge wa Urambo Mashariki,Samwel Sitta (kulia) akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Kabwe Zitto (kushoto) na Mbunge wa Mpanda Kati,Said Arfi,nje ya ukumbi wa bunge mjini jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: