Saturday, June 28, 2008

werrason akonga nyoyo dar
myuzisheni wa kongo werrason usiku kuamkia leo alikonga nyoyo za wadau kwa sana tu ukumbi wa ubungo plaza, dar kwa shoo moja kali itayofuatiwa na ingine leo huko a-taun

No comments: