Tuesday, June 17, 2008

Panya kiboko akiwa katika pepa ya mwisho!
Panya akila mafunzo ya uteguaji mabomu katika Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Mkoani Morogoro hivi karibuni. Panya 36 wamehitimu mafunzo na wamepewa degree ya kuonyesha mabomu wiki iliyopita na wanapaa kwenda Mozambique samahani Msumbiji, kwa ajili ya ajira hiyo mpya ili kusaidia kutegua maelfu ya mabomu yaliyotegwa wakati wa vita.

No comments: