Friday, June 27, 2008

Watanzania si Mabwege-
Dk Mwakyembe

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge ya kuchunguza mkataba wa kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Richmond,Dk. Harrison Mwakyembe amewapasha baadhi ya wabunge wanaowasafisha viongozi waliojiuzulu kutokana na kashfa ya Richmond, kuwa wanapoteza muda kwani Watanzania siyo mabwege.

Dk. Mwakyembe aliliambia Bunge jana kuwa kuna kundi la wabunge walioandaliwa kuwasafisha viongozi waliotuhumiwa kuhusika kwenye ufisadi wa Richmond na kusababisha wajiuzulu ili kamati aliyokuwa anaiongoza ionekane kama iliwaonea kwenye ripoti yake.kwa mengi zaidi juu ya Habari hii bofya Hapa

No comments: