Thursday, June 26, 2008

Watuhumiwa wa ghorofa lililoua kisutu
wafikishwa Mahakamani..

Pichani ni Watuhumiwa katika kadhia ya kuanguka kwa jengo la ghorofa 10 kisutu na kusababis
ha kifo cha mtu mmoja wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana wakisubiri kusomewa mashitaka yanayowakabili Kutoka kushoto Jones Mdeme(58)Brown Undule (43)Athanas Mwagen (55)Kantilal Laxman na Satish Naran Habari hii na picha kwa msaada wa Mdau Msimbe Lukwangule.

No comments: