Friday, June 27, 2008

Washindi wa Celtel Wapaa
Uingereza..
Washindi wa Promosheni ya Celtel,Paul Raymond (wa pili kushoto)na Haji Hassan (wa pili kulia) wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,Dar es Salaam juzi usiku muda mfupi kabla ya kuondoka kwenda London kuhudhuria tamasha la miaka 90 ya kuzaliwa Rais wa zamani wa Afrika Kusini,Nelson Mandela litakalofanyika leo.Kulia ni Ofisa Masoko(Vijana)wa Celtel,Yvonne Mnyani na kushoto ni mfanyakazi wa Celtel,Lekishon Olesekerot.Msanii wa Tanzania, Judith Wambura 'Lady Jay Dee' anatarajiwa kutumbuiza katika tamasha hilo.Picha na Mpiga Picha Maalumu

No comments: