Saturday, June 28, 2008

Swaziland...
Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa,Ulinzi na Usalama wa SADC,akieleza jambo kwa waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku moja wa Asasi hiyo uliofanyika katika Kasri ya Mfalme Lozitha nchini Swaziland juzi.Kikao hicho kilitishwa mahsusi kujadili hali halisi ya Zimbabwe na fukuto la uvunjaji haki za binadamu na kuiparaganya demokrasia nchini Zimbabwe.Picha ya Ikulu.

No comments: