Thursday, June 26, 2008

Marehemu Shamte
Azikwa..




SAID Shamte ambaye alikufa katika ghorofa lililoporomoka Kisutu wiki iliyopita,amezikwa juzi nyumbani kwao Rufiji,Pwani.Marehemu alizikwa katika kijiji cha Rungungu,kikale eneo la Mkwende.Mwajiri wake ambaye alikuwa naye kwa karibu miaka 10 alitoa ubani wa laki mbili.Picha hizi ambazo zimepigwa na mdau Yusuf Badi wa TSN zinaonyesha familia ya marehemu Said Shamte,majirani,na nyingine maiti akiombewa dua kabla ya maziko.

No comments: