Monday, June 30, 2008

Mambo ya Werrason
Bongo .......


Pichani ni Mwanamuziki kutoka Kongo DRC Werrason Ngaima akiliwasha moto usiku wa kuamkia jumamosi ndani ya ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar es Salaam nakukonga nyoyo za wadau mbalimbali waliyojitokeza kumapa shavu mwanamuziki huyo.Picha kwa hisani ya Mdau Emmanuel Herman/Ahmed Michuzi

No comments: