Monday, June 30, 2008

Exim yafanya Mambo
Comoro...
Exim bank imekuwa benki ya kwanza ya Tanzania kutanua huduma zake nchi za nje.Hivi karibuni benki hiyo imefungua tawi lake nchini Comoro.Tazama jinsi inavyopendeza. Picha na Mdau Bernard Rwebangira/TSN.

No comments: