Wednesday, June 25, 2008

Tigo waja na Kali
Zaidi..
Meneja Masoko wa Tigo Tanzania,Kelvin Twissa,akizungumza na waandishi wa habari,kuhusu uamuzi wa kampuni hiyo kutoa bonasi kwa wateja wa mtandao huo wanaopigiwa kutoka mtandao mwingine.Kwa mujibu wa Meneja huyo,kila mteja atajipatia bonasi ya sh.20 kwa kila dakika anapopigiwa simu kutoka mtandao mwingine wowote.Kushoto ni Ofisa kutoka Tigo. Mihayo Wilmore.

No comments: