Saturday, June 28, 2008

Da' Subi: His Name Is Nelson Mandela!
Inaelekea kuna mtu alifanya uandishi kutumia 'auto complete' wakati wa kazi halafu akalibandika tu alimradi...
Afadhali CNN wameondoa na kurekebisha maana ingekuwa si njema.
Dah, akikosewa jina Mandela sisi akina Chipiliro wa Akapungwamchanye sijui itakuwaje.
Tizama kipande cha picha nimekiambatanisha hapa.

No comments: