Wednesday, June 25, 2008

Jaka Mwambi
Aula..
Balozi Mpya wa Tanzania nchini Urusi Jaka Mwambi (Kushoto)akimuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam jana ambapo alifanya nae mazungumzo mafupi kabla ya kwenda kituo chake cha kazi kipya jijini Moscow,Urusi

No comments: