Wednesday, June 25, 2008

Exim na mambo ya Atm inayo hama !!
hii huduma inapatikana katika masaa 24 na hapa ilikuwa Arusha Sullivan watu hawakukosa mpunga maana ulikuwa mlangoni tu mwakuingilia katika mjengo ambako kulifanyika mkutano huo wa Sullivan ila sijui kama kweli sullivan ilisaidia lolote maana hata mimi nilikuwa kati ya wahamasishaji wawale wadau wa mabenzi wakakodishe walambe jiwe moja na nusu (150,000/=tsh) kwa siku ila chini ya kapaeti nasikia watu hadi hii leo hawajadaka mambo yao (Pesa)

No comments: