Thursday, June 26, 2008

Tutakukumbuka daima

Leo ni mwaka mmoja tangu Mheshimiwa Amina Chifupa amefariki dunia. Napenda kuungana na wote katika kumkumbuka.Muhimu ni kuhakikisha kwamba tunaendeleza yale mazuri yote aliyoyafanya,kuyaamini na kuyasimamia enzi za uhai wake.R.I.P Amina Chifupa.

No comments: