Friday, June 27, 2008

Daima Tunakukumbuka..
Jana alhamisi ni mwaka mmoja Tangu Amina Chifupa Mpakanjia afariki Dunia.Tunapenda kuungana na ndugu jamaa na marafiki wote katika kumkumbuka shujaa wetu huyu.Cha Muhimu ni kuhakikisha tunaendeleza yale Mema yote aliyoyafanya na kuyasimamia Enzi za Uhai wake.Daima Tutakukumbuka
R.I.P Amina Chifupa Mpakanjia.

No comments: