Friday, June 27, 2008

Toleo la Raia Mwema Wiki Hii
*Mabilioni ya TCRA yaibua utata bungeni

UTATA umeibuka serikalini kuhusu mabilioni ya fedha zilitolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) baada ya baadhi ya wabunge kuhoji zilivyotumika na sheria waliyotumia mawaziri kuagiza kutolewa kwa fedha hizo.

Habari zinaeleza kwamba Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POC) imejipanga kuhakiki matumizi ya fedha hizo zilizoelekezwa katika miradi ambayo haijafahamika kwa hakika kama imekwisha kukamilika kwa wakati uliopangwa.Habari zinaeleza kwamba TCRA ilitoa zaidi ya Sh bilioni 15 kwa maelekezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Wizara ya Miundombinu na Wizara ya Fedha,kwa ajili ya miradi mbalimbali ambayo haikuwa katika bajeti ya mamlaka hiyo.Kwa mengi zaidi juu ya habari hiii na Makala mbalimbali ikiwemo Rai ya Jenerali Ulimwengu bofya Hapa

No comments: