Thursday, June 26, 2008

werrason atua dar

Mkurugenzi wa Clouds FM/Prime Time Promotions Bw.Joseph Kusaga akizungumza na mwanamuziki kutoka nchini Congo DRC, muda mfupi baada ya kuwasili eapoti ya JK,jijini Dar jana usiku mnamo majira ya saa tano na ushehe hivi,Werasson anatarajia kuangusha bonge la shoo kesho usiku ndani ya ubungo Plaza na baadaye mjini Arusha ndani ya ukumbi wa Naura


Mwanamuziki kutoka nchini Congo DRC,Werasson na skwadi lake zima wametua jana usiku kwenye uwanja JK,tayari kwa shoo kabambe itakayofanyika kesho ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza,jijini Dar ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni sh 20,000 pamoja na msosi wa nguvu,Pichani ni Werrason alipokuwa akifanya mahojiano mafupi na mwandishi wa habari Alfred Lucas

No comments: