Thursday, June 26, 2008

leo ni siku ya kupiga vita mihadarati
tatizo sugu la bangi a.k.a ganja ni mojawapo ya mada zitazotawala na kuzungumziwa katika siku hii. ila ripoti iliyopo sio nzuri kwa bongo. anti subi katukumbusha hili kwa kutuwekea linki hii:
http://dailynews.habarileo.co.tz/home/index.php?id=5447

No comments: