Wednesday, June 25, 2008

MTANZANIA ANAe KIMBIZA ASIA

BEN RICHARD RUTA. ARTISTICAL NAME NI SWEAT DAWG AKA MVUJA JASSO


Vijana wanaounda group la cc upper kama sikosei huko asia. Big up wazee.

8 comments:

Anonymous said...

hao jamaa ni soo nikiongea kama mdau wa uk...nilikuwa india newdelhi nikaona show zao balaa
big up

Anonymous said...

safi bab,BEN nakukubali sana mamen
kimbiza anga hizo zako sio wadandiaje
juhudi kaka

Anonymous said...

i love you ben
i love your shows

Anonymous said...

huyo jamaa mi nampata sana tupo nae huku india ni noma kwenye mambo ya art kwakweli anakimbiza.

Anonymous said...

hahaa Akuna kitu mc wakweli halazimishi humaarufu.Acha kupiga mayowe wacha watu wajione wenyewe.

Anonymous said...

Mtahishia kujigamba for nuthing!!
mbona sisi wa Asia hatuwajuhi.Au mpo kijiji gani.
Msilazimishe fani.

Anonymous said...

Mnajipigia wenyewe ma comment kweli mafala.njooeni uku pune muwaone wasanii wa kweli.Siyo wa kusua sua

Anonymous said...

mwishowake mtajiweka theutamu sasa.kwa kutafuta humaarufu.