Saturday, June 21, 2008


BREaKING NYUUUUZZZZZ

leo hii jengo moja lililopo makutano ya mtaa wa Zanaki/kisutu limeporomoka kwa kile kinachohisiwa kuwa ujenzi usio makini. inasemekana jengo hilo ambalo bado lilikuwa likiendelea na ujenzi lilikuwa limeshafikia ghorofa kumi kabla ya kuporomoka lote.


habari ambazo bado hazijathibitishwa wakati uchunguzi ukiendelea zinasema kuwa baadhi ya mafundi waliokuwa wanalijenga jengo hilo ambao bado idadi yake haijajulikana wamefukiwa na hicho kifusi.


tutaendelea kufahamishana kadri habari zitavyopatikana.

1 comment:

Anonymous said...

Hello dear Safari,
It is a pleasure to be visiting your nice blog. I liked very much the images on your blog. They are beautiful.
Receive my best wishes from Brazil:
Geraldo