Monday, June 30, 2008

Asante ya pombe na sigara
ni....

Asante ya kufanya urafiki na pombe na sigara,faida yake ni kicheko cha aibu ya kutosha.Tizama video (bofya hapa)wanavyomcheka kwa upumbavu wake uliotokana na kubwia pombe. Nimeidaka kwenye baraza ya Faustine' chanzo cha habari Youtube na The Sun.By Subi binti Nsipitwe

No comments: