Wednesday, June 25, 2008

Bungeni jana..
Spika wa Bunge,Samuel Sitta akiwa na watoto Wahida Janguo (kushoto)wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya JK na Amina Omar wa darasa la tatu katika Shule ya Olympio,zote za Dar es Salaam,nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma .Watoto hao walikwenda kujionea shughuli za Bunge.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: