Wednesday, July 15, 2009

VODACOM NA BOA BANK DAM-DAM
Mkuu wa wa maswala ya kibiashara wa Benki ya Afrika(BOA) Wasia Mushi(kulia) akiongea na wanahabari kuhusu Benki hiyo ilivyoungana na Vodacom Tanzania katika kutoa huduma ya M-pesa. Shoto ni Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza.
Mkuu wa udhamini na mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kushoto)akiwaelezea maafisa wa Benki ya Afirika(BOA) Selemani Ponda,Patrick Maleo,Wasia Mushi namna ya huduma ya M pesa inayotolewa na Vodacom mara baada ya Benki hiyo kuwa ya kwanza nchini Tanzania kushirikiana na Vodacom kutoa huduma hiyo muhimu na rahisi kwa jamii.

No comments: