Wednesday, July 15, 2009

hamad ndikumana na irene uwoya wameremeta
mshambuliaji hatari wa simba hamad ndikumana na mai waifu wake ambaye ni mcheza filamu maarufu irene uwoya wakitoka kumeremeta kanisa la mtakatifu joseph jijini dar wikiendi iliyopita na kuelekea kwenye mnuso kwa sataili ya jangwani

1 comment:

Anonymous said...

Kaka Point of Correction....Ndikumana si Mshambuliaji wa Yanga na wala hajawahi kuichezea Yanga.
Aliwahi kuichezea Simba kwa kipindi kifupi