Friday, July 17, 2009

JK na Mama Salma katika hafla ya MEWATA
JK na Mama Salma Kikwete wakipokewa na Mwenyekiti wa MEWATA (Medical Women Association of Tanzania) Dk. Marina Njelekela kufungua kongamano la tano la chama cha kimataifa cha madaktari wanawake (Medical Women International Association) hoteli ya Kunduchi jijni wiki hii
JK na Mama Salma wakielezwa huduma za MEWATA na Dk. Njelekela wiki hii.
JK akisalimiana na watoto waliojitokeza kumlaki kwenye hafla hiyo
watoto wakitoa shoo wakati wa hafla hiyo




No comments: