Monday, July 27, 2009

bado tuna safari ndefu kiukweli wadau da.!



Shida ya usafiri kwa wagonjwa sio vijijini tu, bali hata kwa watu wa hali ya chini ambao wako Dar es salaam ama miji mingine mikubwa yanawakumba kama haya. Sijui hali itaendelea mpaka lini labda zikijengwa zahanati kila kijiji!Picha hii kwa hisani ya MZEE WA SUMO

No comments: