Tuesday, July 21, 2009

sita kizimbani kwa mashtaka ya kusafirisha meno ya tembo
wakazi sita wa dar ambao wamefikishwa kizimbani leo kwa shtaka kusafirisha isivyo halali pembe za tembo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 700 na kukamatwa Vietnam karibuni. wote wameshtakiwa mashtaka ya kuhujumu uchumi. habari kamili inafuata punde

No comments: