Monday, July 27, 2009

kimeo cha siri ya simu


Dada Dina Marios wa mjengoni anauliza hivi;kwa mfano wewe una mpenzi wako au mumeo mnaishi pamoja kila mmoja ana simu yake ya mkononi lakini mwenzako simu yake ameifunga kwa password,yaani anaweza kuifungua ni yeye tu.Itakuuma?utaichukulia poa?haitakusumbua?utafikiria nini?na wewe utaweka password ya kwako?utamuuliza? ama itakuwa vipi??!
haya wadau goma hilo liko jamvini

No comments: