Monday, July 27, 2009

Tigo bwana wanaleta raha sana
Ona huduma mpya sasa '"Usipime... '"
Ofisa Uhusiano wa kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo,Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuzindua promosheni kabambe ya SMS ijulikanayo kwa jina la USIPIME ambapo mteja wa Tigo atatuma neno USIPIME kwenda 15313 na kukatwa sh 400 tu ili aweze kutuma SMS kwenda mitandao yote Tanzania bure saa 24. kulia ni David Zacharia Afisa huduma za ziada wa Tigo ambae pia alitangaza kuzindua rasmi promosheni ya Tigolife wateja watano kushinda muda wa hewani sh 5000 kila wiki, pamoja na promosheni ya Collect SMS kushinda Simu, Ipod au Nimtendo Wii.

No comments: