Saturday, July 18, 2009

mbwembwezzzz !

Mwendesha piki piki akiwa amenaswa hewani na kamera ya inawezekana jumapili iliopita jioni kwenye mashindano yao yanayofanyika kila siku ya jumapili
Watu kibao hufurika kila siku ya jumapili kutazama mashindano ya piki piki katika viwanja vya Tanganyika Pekaz.

Mdau akionesha mbwembwe na gari yake kwa watazamaji kibao jioni hiyo kwenye mashindano ya kutoana jasho ya piki piki yanayofanyika kila siku ya jumapili katika viwanja vya Tanganyika Pekaz,Kawe jijini Dar.

No comments: