Tuesday, July 21, 2009

vikwangua anga vipya dar
kona ya barabara za Kawawa (zamani morocco) na ali hassan mwinyi road pana kikwangua anga kipya ambacho kimejikita juu ya iliyokuwa gogo hotel enzi hizo. inasemekana jengo hili ni la kampuni ya Zain ambayo pamoja na kuondoa shea yake TTCL hivi sasa iko njiani kununuliwa na kampuni ya kifaransa. habari zaidi

No comments: