Friday, July 17, 2009

mzee mwai kibaki atua bongo kwa ziara ya siku mbili
Rais wa Kenya Mh. Mwai Kibaki akipokea maua mara baada ya kutua Dar wiki hii huku mwenyeji wake akiangalia
Mh. Mwai Kibaki akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Mh. Mwai Kibaki akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Mganga Ngeleja
Mh. Kibaki akipokewa kwa vifijo na nderemo dar .



No comments: