Friday, October 16, 2009

JK akiwa Musoma
Juu na chini kijana Mlemavu, Eliabu Buliro Kamoga akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya sanamu yake, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wakati kijana huyo alipokuja kumuona Rais Kikwete ikulu ndogo iliyopo mjini Musoma,Mkoani mara.Kijana huyo ambaye alisema yeye ni yatima alimwomba Rais Kikwete ampatie msaada wa usafiri kutokana na hali yake ya ulemavu na msaada wa kulipiwa karo ya masomo ambapo sasa hivi anasoma katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru,Mkoani Arusha kwa kulipiwa ma wafadhili mbalimbali na kutokana na kazi zake za sanaa.Pembeni anayeangalia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Mara Enos Mfuru.

JK akipandisha bendera ya CCM muda mfupi baada ya kufungua Tawi la Wanachama CCM wa Maisha Plus, Kitaji,katika Manispaa ya mji wa Musoma.

wasanii wamuenzi mwalimu kwa kufanya usafi nyumbani kwake msasani
wasani wa tasnia ya filamu na muziki walikusanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Msasani, Dar, na kufanya usafi kuadhimisha miaka 10 ya kifo chake. Shughuli hii iliratibiwa na African Stars Entertainment, wamiliki wa bendi ya Twanga Pepeta, chini ya Mkurugenzi wake Da'Asha Baraka akisaidiana na Mamaa Dotnata, pamoja na kikosi kizima cha twanga pepeta na mastaa kibao wa filamu. Shughuli ilifana sana Mjukuu wa Mwalimu, Fortunata Nyerere, aliwashukuru wasanii hao kwa niaba ya familia
aisha madinda alikuwa mmoja wa wasanii waliofaidika na matunda ya Baba wa Taifa kwa kujipatia mzigo wa nazi kwenye bustani ya nyumbani kwa Mwalimu
Mamaa Dotnata akiwa kazini
Dk. Cheni alishughulikia taa za bustanini
JB naye alikuwa bize kutwa nzima kubeba taka

anko alikuwepo. hapa anakula konozzz na lillian internet, Lwiza Mbutu, Janet Isinike na paparazzi Muhidin Sufiani
wanenguaji wa twanga wakipepeta takataka zote
Mjukuu wa Mwalimu, Fortunata Nyerere, akiwashukuru wasanii hao kwa niaba ya familia
baadhi ya wasanii hao wakipozi baada ya kazi


Ujumbe: Mtandao wa
http://www.dailynews-tsn.com/
umetoa toleo maalumu la kukumbuka siku hii adhimu

WAZUNGU BWANA???!!!!

Msamaria mwema ni yupi hapo?paka au dada?
john komba aendeleza libeneke butiama
mbunge wa mbinga ambaye pia ni mmoja wa wahamasishaji wakuu wa CCM akiimbisha wimbo wakati wa kilele cha Mbio za Mwenge na pia maadhimisho ya miaka 10 ya Kifo cha Mwalimu Butiama

milioni 25 za bongo star search zaenda mwanza!
Mshindi wa Bongo Star Search 2009, Paschal Cassian, katikati akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Mil.25 toka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Ephraim Mafuru na Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Productions Madame Rita Paulsen baada ya kuibuka mshindi katika fainali zilizofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar usiku . Shinadno hilo ambalo limefana sana mwaka huu limeandaliwa na Benchmark na Kudhaminiwa na Vodacom kama wadhamini wakuu
Paschal Cassian akiwapagaisha mashabiki wake wakati wa fainali za BSS.

Kanda ya Ziwa imeendelea kutesa katika anga ya burudani ambapo juzi usiku mshiriki wa shindano la kusaka vipaji la waimbaji (Bongo Star Search) kutoka Mwanza, Pascal Cassian aliibuka kidedea katika shindano hilo.

Ikiwa ni siku ya 12 baada ya kumalizika kwa kinyang’anyiro cha kumsaka mnyange wa Tanzania (Vodacom Miss Tanzania 2009), kutoka Mwanza Miriam Gerald kung’ara katika mshikeshike huo imeweza kuiwekea historia mkoa huo kutoa washindi mfululizo ndani ya mwaka huu.

Kutokana na ushindi huo Miriam aliyetwaa taji hilo na kunyakua zawadi zenye thamani y ash mil. 61 ikiwa ni gari ya thamani ya mil.53 pamoja na fedha taslim sh mil.9.

Aidha kutokana na ushindi huo Cassian amezawadiwa mfano wa hundi ya fedha yenye thamani kiasi cha sh.mil. 25 toka kwa wadhamini wakuu wa fainali hizo Vodacom Tanzania.

Nafasi ya pili ilikwenda kwa mshiriki kutoka Kigoma Peter Msechu ambaye amepata zawadi y a sh mil.5, mshindi wa tatu ni Kelvin Mbati aliyepata kitita cha sh mil3.5.

Huku katika hatua nyingine mshiriki kutoka Tanga Jackson George aliyepata sh mil.1.5 na wa tano ni Beatrice William aliyepata sh mil 1,huku washiriki waliofanikiwa kuingia kumi bora kila mmoja akiibuka na sh.400,000.
Mbali na Vodacom, BSS mwaka 2009 imedhaminiwa pia na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kupitia bia ya Kilimanjaro, Family Health International, Tansoma Hotel na Maji ya Kilimanjaro.
Mwisho.

Tuesday, October 13, 2009

Tearful Mike Tyson to Oprah: 'I'm Tired of Failing'



Mike Tyson opens up to Oprah
Harpo

In an emotional interview with Oprah Winfrey, Mike Tyson claimed to be a new man - one focused on his family. The former heavyweight boxing champion feared that the erratic behavior that has dominated his life for two decades would kill him within two years if he returned to it.

Tyson opened up about most of his headline-grabbing actions over the years, including his years in prison, his tempestuous eight-month marriage to Robin Givens, his long addiction to drugs, the $400 million fortune he squandered, the 1997 comeback match in which he bit Evander Holyfield's ear, and -- for the first time -- the death of his 4-year-old daughter earlier this year.

The key development in Tyson's life stems from what seems to be a newfound self-awareness following his participation in the movie "Tyson," a documentary about his life filmed as he went through rehab two years ago. "If I'm not conscious of who I am, I'm just going to let myself run [wild], and I'm going to destroy my beautiful family, and I'm going to destroy myself, and I don't want to go down that road any more," he said.

Tyson ranged from terse to surprisingly candid as Winfrey asked the fallen champion about his checkered past, and he delivered eye-opening quotes about Givens and Holyfield while remaining somewhat tightlipped about the specifics of his daughter's death.

On choosing not to know the details of his daughter's accidental death: "I don't know. I don't want to know. If I know ... [then] somebody's to blame for it, and if somebody's to blame for it, there are going to be problems." The quote seems to insinuate that he doesn't want to be mad at his ex-wife or any of his other children who might be found at fault for the freak accident in which daughter Exodus was found unconscious and tangled in a cord hanging from an exercise machine.

On the "20/20" interview in which he sat idly while Givens called him manic-depressive and said that life with Tyson was "pure hell" and "torture": Tyson explained that the marriage was abusive "both ways" -- that he battered Givens, but that she abused him emotionally.

On the Holyfield incident: "I was pissed off that he was such a great fighter ... I was just mad at him." Tyson said that after the incident, "I didn't feel guilty at all," and that the apology he delivered "wasn't sincere."

On why he hasn't spoken to Holyfield since: "I see him sometimes, I think he's a little leery of me." Tyson added, "I just want to apologize. I've known him for such a long time, and I was just undisciplined. I was in a very competitive mood and I wanted so desperately to beat him for my own self-aggrandizement, and I was just upset."

On whether his current family-oriented, monogamous life is boring: "I know I don't have two more years to live if I live this life." (By "this life," he means his former hard-living world of drugs, women, and bankruptcy.)

In all, Tyson was more candid than most athletes are willing to be in today's professional-sports landscape. But then, Mike Tyson has a lot more baggage to unload, too.

Talk About It: Do you think Mike Tyson is a changed man?

Monday, October 12, 2009


makazi mapya ya balozi wa eu dar
mdau akipandisha bendera kwenye makazi mapya wa balozi wa umoja wa nchi za ulaya (eu) nchini sehemu za masaki
balozi mkazi wa umoja wa ulaya (eu) nchini balozi tim clarke akiongea wakati wa uzinduzi wa makazi yake mapya sehemu za masaki jijini dar leo

wageni waalikwa kwenye hafla hiyo

wadau wa ofisi mbalimbali za nchi za ulaya

mdau richie swai (shoto) akiwa na wadau wengine kwenye ufunguzi huo

wadau wa eu wakijiandaa kuimba wimbo wa taifa

hongera notburga, madaraka na gerald kwa kukwea mlima kilimanjaro
Siku ya saba – Kazi imekamilika. Gerald Hando (shoto), na Madaraka Nyerere kileleleni Uhuru (5,896m).
Madaraka Nyerere akipokea cheti cha kufika Uhuru Peak (5,896m) kutoka kwa Yahoo.

Gerald Hando akipokea cheti cha kufika Uhuru Peak (5,896m) kutoka kwa Yahoo.

Yahoo anamkabidhi Notburga Maskini cheti cha kufika Stella Point (5,745m) baada ya kurudi mjini Moshi kwenye hoteli ya Springlands.

Siku ya nne - Safari ya kutoka kambi ya Shira 2 kuelekea kambi ya Barranco.
Siku ya tano – Mlima Kilimanjaro unavyoonekana kutokea kambi ya Karanga (3,963m).
Siku ya saba – Yahoo (Muongozaji) kushoto, na Gerald Hando wakikagua mandhari juu Mlima Kilimanjaro dakika chache baada ya kufika Uhuru Peak (5,896m). Safari ilianza saa 6 usiku kufika kambi ya Barafu (4,600m) na kukamilika asubuhi kabla ya saa 3:30. Nyuma yao unaonekana Mlima Meru.
Siku ya kwanza – Safari ya kuelekea Big Tree Camp 2,650m). L-R Madaraka Nyerere, Gerald Hando, Notburga Maskini.



Thursday, October 8, 2009

Thabeet aanza ngwe ya awali NBA League

ANGALIZO. Hiyo si "tatoo", ni maandishi juu ya picha. Picha kwa hisani ya

www.memphisbluebears.com

Hasheem Thabeet, usiku wa kuamkia leo alifungua pazia la kushiriki mechi ya kwanza ya ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA pale alipoichezea timu yake ya Memphis Grizzlies dhidi ya Washington Wizards katika mechi ya kwanza kati ya mapambano ya kujipima nguvu kabla ya kuanza rasmi kwa msimu wa 64 wa ligi ya NBA utakaoanza rasmi Oktoba 27 2009 na kumalizika Aprili 14 2010.

Katika mechi hiyo ambayo Wizards walishinda 101-92, Hasheem alionekana kufanya vema kwa kuweza kufunga pointi 6 na kuzuia mitupo 4 ndani ya dakika 15. Huu si mwanzo m'baya kwa Hasheem ambaye alikuwa chaguo la pili kwa thamani katika draft ya NBA na sasa ameanza ngwe nyingine ya UCHEZAJI WA KULIPWA katika mpira wa kikapu.

Kila la kheri Hasheem
"
www.changamotoyetu.blogspot.com"

Wednesday, October 7, 2009

miriam gerald ndiye vodacom miss TZ 2009 na pia ndiye Redds miss photogenic!!!
Miriam akiwa ameongozana na mabodigadi wataomlinda wakati wa hafla akipunga mikono wakati wa fainali hizo ukumbi wa Mlimani City Conference Hall jijini Dar baada ya kutangazwa Redds Miss Photogenic 2009, shindano ambalo liliratibiwa na Globu ya Jamii na kudhaminiwa na Redds Original. Zawadi yake ni sh. milioni moja, kutengenezewa jarida (portfolio) ya weledi ya urembo pamoja na mkataba wa mwaka mmoja wa kufanya kazi za umodo na kampuni inayoongoza ya uwakala wa umodo ya Beautiful Tanzanie Agency
Miriam akiwa katika kiti chake cha enzi baada ya kutawazwa Vodacom Miss TZ 2009
Nasreem Kareem akijiandaa kumvisha taji Miriam ambaye wanatoka naye jiji la Mwanza
Nasreem Kareem akimvija taji Miriam
Nasreem akimvisha sasha la pili Miriam la Miss TZ 2009 juu ya lile la Redds Miss Photogenic 2009
Balozi Ami Mpungwe akionesha taji la Vodacom Miss TZ ambalo limetengenezwa kwa Tanzanite

Miriam na warembo wenzie waliofikia tano bora
miriam gerald ndiye Vodacom miss TZ 2009 na pia ndiye miss Redds Photogenic 2009 kwa mujibu wa matokeo ya fainali hizo zilizohitimishwa katika ukumbi wa Mlimani City Conference centre jiijini Dar .

Kwa habari kamili pamoja
na picha na video kibao...
BOFYA HAPA

pamoja na yote hayo ila sikufurahishwa na jambo dogo sana ambalo waandaaji hawakuliangalia. Nalo niyale mafataki waliyo yalipua hawakutoa tahadhari maana milio ilikuwa mikubwa ndugu zangu kule Mabibo walizisikia . Maana kuna watu walipatwa na kihoro katika milio hiyo .
Maoni yangu linapofanyika swala kama hili watu wanaoishi jirani waambiwe pia wasije wakakimbia makazi yao bure na kusababisha hayo yalio tokea katika kilele cha usiku wa kumtafuta mrembo wetu.
Kwa mengine yote nawapa hongera wote mlioshiriki na mkulipa unadhifu.
Na mwisho mwanza mwanza wako juu hongereni sana. wazee wa mapanki!!
Alikiba na ujumbe kwa vijana.
Bofya link hiyo hapo chini umsikilize msanii Ali Kiba akiongelea
umuhimu wa shule kwa vijana, hususan wasanii, katika Sporah Show
Libeneke la Culture Heritage A-taun
Jengo jipya la ituo cha sanaa na utamaduni cha Culture Heritage jijini a-taun kwa ndani. ghorofa tatu zote ni sehemu ya kuoneshea kazi za sanaa na utamaduni
mgeni akipozi mbele ya kinyago cha kimakonde ambacho ni kikubwa kuliko vyote vilivyopata kuchongwa kutoka katika shina moja la mti
madhari ndani ya kituo hiki
wageni wakishangaa kinyago cha kimakonde
sehemu ya chini ya taswira ya ngao uionayo ukipita kwa nje

bustani murua zimezunguka kituo hiki
lango kuu lenye nakshi nakshi toka zenji
sanamu za mifugo na wanyama zimezagaa kile kona
sehemu ya ndani ya jengo la zamani

Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha sanaa na utamaduni wa Mtanzania cha Culture Heritage, Saifudin Khanabahi, akiwatembeza wageni katika jengo jipya la kituo hicho lenye nafasi la mita za mraba zaidi ya 30,000 na litapofunguliwa kabla ya mwisho wa mwaka huu litakuwa ni kituo kikubwa cha sanaa na utamaduni wa Afrika bara zima, kama si dunia yote
jengo jipya la Culture Heritage lina mambo mengi mapya ikiwa ni pamoja na ukumbi wa kisasa wa sinema na maonesho ya jukwaani kwa ajili ya kuonesha utamaduni wetu kwa wageni










anko nanihii alitembelea kituo hicho











kituo kinavyoonekan kwa ndani