Monday, January 25, 2010

Scania Laparamia Vibanda Mbezi kwa Msuguri

Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakiangalia gari la kubeba mafuta aina ya Scania baada ya gari hilo kuacha njia na kugonga vibanda vya wafanya biashara Mbezi kwa Msuguri jana. Mwanamke mmoja alifariki papo hapo na mwingine kukimbizwa hospitali akiwa mahututi.

No comments: