Saturday, January 2, 2010

Buriani simba wa vita
Mama Maria Nyerere na Mama Sitti Mwinyi wakisoma wasifu na ratiba wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa Simba wa Vita ukumbi wa Karimjee Hall jijini Dar jana.
Sheikh Yahya Hussein akisoma Quran
sehemu ya waomblezaji waombolezaji wakilia
wengi walishindwa kujizuia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa marehemeu Mzee Rashid Mfaume Kawawa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar jioni jana. Mamia ya wananchi wamefurika ukumbini hapo kumuaga Sima wa Vita anayetarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Madale leo Jumamosi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho.




1 comment:

Anonymous said...

jamani mkililia kawawa ni makosa..miaka ya binadamu kuishi ni 70/75 miaka ambayo mungu aliweka,hapo mnatakiwa kumuombea tuu sio kulia