Thursday, August 27, 2009

nizar khalfani akichakarika canada
nizar na wenzie wakishangiliwa baada ya kumtungua mtu
nizar akinyanyasa
akitawala kiuongoni
keshalizwa mtu
picha hizi za Nizar Khalfan akitutoa kimasomaso huko ughaibuni katika mechi ya Vancouver White Caps na Miami Picasa ambapo timu ya kina Nizar ilishinda na yeye alichangia sana ushindi huo. Naamini kabisa kuna baadhi ya wadau wa hili libeneke wangependa kabisa kuziona ili wapate kufarijika!!
Mdau DM

No comments: