msanii nguli wa mashairi mrisho mpoto ambaye ni maarufu kwa jina la 'mjomba'ameanzisha bendi itayoitwa jina hilo hilo - Mjomba music band. ameiambia globu ya jamii usiku huu wakati akitumbuiza kwenye ukumbi wa Nkrumah Hall chuo kikuu cha university of dar kwamba ana vijana 10 wa jinsia mbalimbali wanaounda kundi hilo lenye vionjo vyote vya muziki. waimbaji wa mjomba music band wakiwa katika onesho lao la kwanza leo UDSM
muziki uliopokolea hakuna alieketi kitini mjomba akishangiliwa kwa mambo yake mazito ya kuomba nauli waimba tokomile, sindimba, bongo flava, sebene vyote unavipata Mjomba music band
mrisho mpoto akimtambulisha mwalimu wake wa shule ya msingi (shoto) na mjomba wake wa kwelikweli
mjomba music band katika picha ya pamoja kwa mawasiliano na kundi hili piga namba +255 754 987 838 au +255 712 056 748 ama mmpoto@yahoo.com
No comments:
Post a Comment