Thursday, August 13, 2009

Jirani Adakwa Na Madawa Akienda Afrika Kusini

Mkuu wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa akionesha kifurushi cha dawa za kulevya aina ya Heroin zenye uzito wa kilo 3, waandishi wa habari baada ya kukamata toka kwa raia wa Kenya Rebeka Wairimu, katika kituo kikuu cha Mabasi, Ubungo, Dar es Salaam.

No comments: