Monday, June 8, 2009

tamasha la wahapahapa coco beach funika bovu
kiongozi wa kundi la Wahapahapa Paul Ndunguru aki-rap wakati mashabiki wakiwa wamevamia jukwa leo katika shoo kabambe ilofanyika coco beach, dar
coco beach palikuwa hapatoshi katika shoo ya wahapahapa

bob zungu akiwajibika na wahapahapa
mdau teddy mubaraka na mwenzie wakifanya vitu vyao coco beach leo
carola kinasha na kundi lake la shada walipagawisha vilivyo pia
umati uliohudhuria shoo ya wahapahapa coco beach leo. kampuni ya intergrated ndio iliyoandaa majukwaa pamoja na mambo mengine ya shoo hiii iliyofana sana

umati coco beach leo







No comments: