Wednesday, November 25, 2009

Tigo Wazindua Promosheni Mpya
ya Tigo Shangwe..




Meneja Uhusiano wa kampuni ya Tigo Jackson Mbando akizungumza na waandishi wa habari mapema leo asubuhi juu ya promosheni mpya ijulikanayo kama Tigo Shangwe ,ambapo washindi wawili watajishindia gari aina ya Nissan ambapo zawadi nyingine zitakazoshindaniwa ni Televisheni aina ya Samsung inchi 35

No comments: