Monday, July 12, 2010

Hispania Ndio Mabingwa wapya wa kombe la dunia 2010
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini pamoja na Rais wa Fifa,Sepp Blatta wakiwa na mabingwa wapya wa Dunia mara baada ya kuwakabidhi kikombe chao cha ubingwa walioupata kwa kuitungua timu ya Taifa ya Uholanzi bao 1-0 lililofungwa na mchezaji Andres Iniesta dakika nne tu kabla ya mechi kumalizika.Torres na wenzake wakifurahia ubingwa huo.
Mfungaji wa goli pekee lililoipa ubingwa timu ya Taifa ya Hispania,Andres Iniesta akishangilia goli lake muhimu lililoipatia ubingwa timu ya Taifa ya Hispania. Na maandishi kwenye tshirt yake ni kumbukumbu ya kumkumbuka mwenzake alie kufa kwa matatizo ya moyo. (yakisema ukonasi Dani Jarque)

No comments: