Wednesday, March 26, 2008

KP !!

Uzinduzi wa shirika la utangazaji tanzania leo !!


jk na mama salma pamoja na waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. george mkuchika na ya wafanyakazi wa tbc

Karata Dume..


Msanii Selemani Msindi ‘Afande Sele’, akilishambulia jukwaa wakati akizindua albamu yake ya ‘Karata Dume’ kwenye ukumbi wa Mambo Club,mjini Morogoro juzi.Uzinduzi huo uliodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo ulikwenda sambamba na sherehe za Sikukuu ya Pasaka.

Coco... Pasaka ilivyokuwa !!!

Hiyo Ni Mwananyamala kwa Ndugu yetu A.....a !!


mjadala pepe

Amini usiamini majadiliano tunayofanya kwenye makundi pepe na kupitia blogu mbalimbali, maoni endelevu yanayoandikwa humu yanawafikia watu kadhaa na pale inapowezekana hatua mahsusi zimechukuliwa.

Picha inayoonekana hapo amenitumia rafiki yangu mmoja aliyoipiga jana eneo la Mwananyamala baada ya mvua kunyesha. Nomba kuifikisha kwa wadau, tafadhali tunaomba mchango katika hili.

Tushirikishane mawazo na suluhisho la matatizo madogo madogo kama haya ambayo tukiyazuia ni rahisi sana kuepuka magonjwa ya mlipuko na kwa hivyo angalao kupunguza idadi ya wagonjwa wa mara kwa mara ambapo kukosekana nguvu kazi yao huchangia pia kupungua kwa uzalishaji na ujenzi wa nchi.

Tujadiliane tafadhali. Hii ndiyo faida ya elimu kwa njia ya mtandao wa intaneti hata ikiwa inawafikia wachache, hao hao wachache ndiyo wanaohusika na kutoa chachu na maelezo ya kimaendeleo.

Elimu muafaka ni kito cha thamani!

Mdau Subi

KP !!

Mh Spika Atimiza Miaka 40 ya ndoa !!


Spika wa Bunge Samule Sitta na mkewe Margaret ambaye ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,wakikata keki wakati wa sherehe ya miaka 40 ya ndoa yao zilizofanyika nyumbani kwao Kimara jijini Dar es Salaam jana.

Magari Yakwama Chunya..


Pichani ni magari ambayo yamekwama na kuziba njia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika kijiji cha Kawatere barabara ya kutoka Chunya kuelekea Mbeya ambapo barabara hiyo iko kweye matengenezo.

Nafasi za Kazi !!!!!

Job Title:: PROCUREMENT MANAGER
Company Name:: Tanzania Social Action Fund
Address:: Executive Director,Tanzania Social Action Fund,Box 9381 Dar es salaaM.
Qualifications:: University First Degree or equivalent in Engineering,Economic or Business Studies (material Management) from a recognised University or a Higher Learning Institution.
Source:: Mwananchi
Advert Date:: march/17/2008
Deadline :: 04/april/2008

Job Title:: LOAN OFFICER (30 VANCANCIES)
Company Name:: FINCA Tanzania Ltd,
Address:: Human Resouces Manager, FINCA Tanzania Ltd, Box 78783 Dar es salaam.
Qualifications:: Degree/Diploma in Economic,Commerce,Education,Socialogy,social sciences,Accounts or related discipline.
Source:: Mwananchi
Advert Date:: march/17/2008
Deadline :: 01/april/2008

Job Title:: SENIOR INFORMATION OFFICER
Company Name:: Prime Minister`s Office,Regional Administration and Local Government.
Address:: Permanent Secretary, Prime Minister`s Office,Regional Administration and Local Government.Box 1923, Dar es salaam
Qualifications:: First Degree in Mass Communication/Journalism or equivalent qualification.
Source:: Mwananchi
Advert Date:: march/17/2008
Deadline :: 08/april/2008

Job Title:: PRINCIPAL ADMINISTRATIVE OFFICER 1.
Company Name:: Prime Minister`s Office,Regional Administration and LOcal Government
Address:: Permanent Secretary,Prime Minister`s Office,Regional Administration and Local Government Box 1923, Dar es salaam
Qualifications:: Master or Postgraduate in public Administration,sociology,Law,Economic,Human Resources Management.
Source:: Mwananchi
Advert Date:: 3/17/2008
Deadline :: 08/april/2008

Job Title:: SENIOR ADMINISTRATIVE OFFICER
Company Name:: Prime Minister`s Office, Regional Administration and Local Government.
Address:: Permanent Secretary, Prime Minister`s Office, Regional Administration and Local Goverment.Box 1923 Dar es salaam.
Qualifications:: First Degree or Advanced Diploma in public Adminstration,sociology,Law,Economics,Human Resources Management.Box 1923 Dar es salaam.
Source:: Mwananchi
Advert Date:: 17/march/2008
Deadline :: 08/april/2008

Job Title:: LIBRARIAN 11
Company Name:: Prime Minister`s Office,Regional Administration and Local Government
Address:: Permanent Secretary, Prime Minister`s Office,Regional Administration and Local Government Box 1923, Dar es salaam.
Qualifications:: First Degree in Librarianship or equivalent qualifications from recognised institution
Source:: Mwananchi
Advert Date:: 17/march/2008
Deadline :: 08/april/2008

Job Title:: OFFICE MANAGEMENT SECRETARY
Company Name:: Prime Minister`s Office,Regional Adminstration and Local Goverment,
Address:: Permanent Secretary,Prime Minister`s Office,Regional Adminstration and Local Goverment, Box 1923, Dar es salaam.
Qualifications:: Diploma in Secretary studies from TPSC, Form IV, stage 111 seretarial studies
Source:: Mwananchi
Advert Date:: 17/march/2008
Deadline :: 08/april/2008

Job Title:: OFFICE MANAGEMENT SECRETARY
Company Name:: Prime Minister`s Office,Regional Adminstration and Local Goverment,
Address:: Permanent Secretary,Prime Minister`s Office,Regional Adminstration and Local Goverment, Box 1923, Dar es salaam.
Qualifications::
Source::
Advert Date:: 2/28/2008
Deadline :: dd/mm/yyyy

Job Title:: PERSONAL SECRETARY 1.
Company Name:: Prime Minister`s Office, Regional Adminstration and Local Goverment.
Address:: Permanent Secretary,Prime Minister`s Office, Regional Adminstration and Local Goverment Box 1923, Dar es salaam.
Qualifications:: Diploma in Secretarial,Stage 111 Secretarial Studies.
Source:: Mwanachi
Advert Date:: 17/march/2008
Deadline :: 08/april/2008

Job Title:: PERSONAL SECRETARY 11.
Company Name:: Prime Minister`s Office,RegionalAdminstration and Local Government.
Address:: Permanent Secretary,Prime Minister`s Office,RegionalAdminstration and Local Government. Box 1923, Dar es salaam.
Qualifications:: Form IV, stage 111 Secretarial Studies, compter literate from a recognised institution.
Source:: Mwananchi
Advert Date:: 17/march/2008
Deadline :: 08/april/2008

Dar Es Salaam Stock Exchange

Company High Low Shares Traded
SIMBA 1,560 1,560 1000
SWISSPORT 770 760 35610
TBL 1,640 1,640 3640
TOL 330 330 10000
TWIGA 1,420 1,400 2250